May 30, 2017


Mwili wa marehemu Shose Shalua Fidelis Masao aliyefariki katika ajali aliyokuwemo nahodha wa Simba, Jonas Mkude, utaagwa Alhamisi.

Taarifa kutoka kwa familia ya marehemu imeelezwa kuwa mwili wa marehemu utaagwa Saa 5:00 asubuhi katika hospitali ya Mwananyamala. 

Baadaye ibada itafanyika Saa 7:00 mchana na kwa mara nyingine shughuli za mwili kuagwa katika Kanisa la Roma, Magomeni. 


Pamoja na hivyo, familia ya marehemu imewashukuru wadau mbalimbali wa klabu ya Simba na wale wapenda mpira waliojitokeza kutoa rambirambi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic