May 25, 2017Kiungo nyota wa Mbeya City, Kenny Ally Mwambungu sasa ni mali ya Singida United.

Kiungo huyo amesaini mkataba wa miaka miwili kuichezea Singida United ambayo imepanda Ligi kuu Bara.


Wakati alikuwa akiwaniwa kwa juhudi kuu na wakongwe Yanga, Mwambungu amesaini Singida United.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV