May 29, 2017Barcelona imemtangaza Ernesto Valverde kuwa kocha wake mpya mkuu anayechukua nafasi ya Luis Enrique aliyeamua kuondoka.

Barcelona imemtangaza Ernesto Valverde kuwa kocha wake mpya mkuu anayechukua nafasi ya Luis Enrique aliyeamua kuondoka.

Valverde, 53, alikuwa kocha wa Athletic Bilbao ambayo imemaliza La Liga ikiwa katika nafasi ya 7.


Kabla ya hapo, kocha huyo amewahi kuzinoa Villarreal, Valencia na wapinzani wakubwa wa Barcelona inapokuwa jijini Barcelona, Espanyol.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV