May 4, 2017


Katibu Mkuu wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa amesema hawana presha na suala la Simba kuwazuia kubeba ubingwa.
Mkwasa amesema wamerejesha nguvu zao zote kwenye Ligi Kuu Bara baada ya kupoteza nafasi ya Kombe la Shirikisho.
Yanga ilifungwa bao 1-0 katika mechi ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho, mechi iliyopigwa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, wiki iliyopita.
“Tumerudisha nguvu zetu kwenye ligi, tunataka kutetea ubingwa. Suala la kwamba upande wa pili walitupa presha wala halitusumbui,” alisema.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic