May 12, 2017Kampuni ya kubashiri ya SportPesa tayari ni wadhamini rasmi wa Simba. Wameingia mkataba wa miaka mitano na wachezaji wa Simba wakati wa mapumziko walivaa jezi mpya zenye jina la mdhamini huyo kifuani ikiwa ni mara ya kwanza wakiwa uwanjani wakiivaa Stand United na kushinda kwa mabao 2-1.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV