May 4, 2017



Kocha Mkuu wa Simba, Joseph Omog amesema kikosi chake kina uwezo wa kutwaa ubingwa katika uwanja wowote.

Fainali ya Kombe la Shirikisho kati ya Mbao FC dhidi ya Simba itachezwa Mei 28, mwaka huu kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.

“Kwanza Mbao ni timu nzuri, tumecheza nao mara mbili kwenye ligi, tumeshinda mechi zote. Lakini lazima tukubali hii ni mechi ngumu sana.


“Lakini suala la uwanja, kwetu tutaendelea kujiandaa kwa lengo la kushinda au kufanya vizuri,” alisema.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic