May 18, 2017



KIkosi cha Simba kimeendelea na mazoezi yake kambini Dege Beach ikiwa ni kujiandaa na mechi yake ya mwisho ya ligi dhidi ya Mwadui ya Shinyanga.

Baada ya mechi dhidi ya Stand United na kuibuka na ushindi wa mabao 2-1. Wachezaji wakapewa mapumziko ya siku mbili na baada ya hapo, Jumatatu kazi ikaanza.


Kikosi hicho kimekuwa kikiendelea na mazoezi kujiweka fiti pia kwa ajili ya mechi ya fainali ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Mbao FC, wikienda ijayo mjini Dodoma.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic