May 19, 2017Taifa Stars sasa imeanza harakati za kuwania kufuzu Afcon mwaka 2019 na itaanza harakati zake dhidi ya Lesotho.

Mchezo wa awali wa kuwania kufuzu Afcon ambao utapigwa Juni 10 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Timu inaingia kambini Jumatatu ya wiki ijayo jijini Dar es Salaam na itabaki kambini kuanzia Mei 24  hadi 29.

Mei 30 kikosi hicho kitaondoka nchini kwenda Misri katika kambi maalum kabla kureje Juni  7.                        


Fainali za Afcon 2019 zitaafanyika Cameroon kuanzia Januari 12 hadi Februari 3, 2019.                        

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV