ACTION, NAMNA AMBAVYO GOR MAHIA WALIVYOBEBA UBINGWA SPORTPESA SUPER CUP Gor Mahia ndiyo mabingwa wa SportPesa Super Cup baada ya kuwatwanga wapinzani wao AFC Leopards kwa mabao 3-0 katika fainali. Burudika na picha kadhaa namna mambo yalivyokuwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, jana.
0 COMMENTS:
Post a Comment