June 12, 2017



Kipa Benedict Haule amejiunga na Azam FC kwa kusaini mkataba wa miaka miwili.

Mara tu baada ya kusaini, mara moja akavishwa jezi kuonyesha kuwa sasa kipa huyo ni mali ya klabu hiyo ya Azam FC inayomilikiwa na bilionea namba moja nchini, Salim Said Bakhresa.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic