CHEKI MESSI, SUAREZ NA FABREGAS WALIVYOJIACHIA NA FAMILIA ZAO HUKO IBIZA Washambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi na Luis Suarez wameungana na Cesc Fabregas wa Chelsea kufurahi na familia zao. Washikaji hao wamejumuika na wake na watoto zao katika ufukwe wa Ibiza nchini Hispania kufurahia maisha wakati wa mapumziko.
0 COMMENTS:
Post a Comment