June 12, 2017


Baada ya kusaini miaka miwili jana, hatimaye Shomari Kapombe amekabidhiwa uzi wa Simba.

Unaweza kujua ni uzi mpya kwa kuwa una ile nembo ya SportPesa ambao ndiyo wadhamini wapya wa Simba kwa miaka mitano ijayo kuanzia msimu ujao.


Rais wa Simba, Evans Aveva ndiye alimkabidhi Kapombe jezi hiyo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV