June 8, 2017


Golden State Worriors imeonyesha imepania kubeba ubingwa wa NBA safari hii baada ya kuitwanga kwa mara ya tatu mfululizo Cavaliers.

Worriers wameshinda kwa vikapu 118-113 wakiwa ugenini na kuandika ushindi wa tatu mfululizo katika fainali hizo za NBA.


Licha ya LeBron James kujitahidi kuibeba Cavs, lakini bado ukali wa Stephen Curry na Kevid Durant ulionekana hauzuiliki na Worriers wakaandika ushindi huo wa tatu.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic