June 5, 2017
Beki Mamadou Sakho wa Liverpool raia wa Ufaransa ameendelea kula raha akitalii nchini Tanzania.

Taarifa zinaeleza Sakho yuko nchini pamoja na familia yake akiwa ameongozana na mkewe Majda na wanatarajia kutembelea katika mbuga za wanyama ingawa imekuwa ikifanywa siri kubwa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV