June 5, 2017


Siku mbili tu baada ya kuondoka kwa nyota wa zamani wa Manchester United, David Beckham ambaye alikuja nchini kwa utalii akiwa na familia yake, Tanzania imepata ugeni mwingine.

Safari hii ni Mamadou Sakho, beki wa Liverpool raia wa Ufaransa ambaye yuko mjini Arusha kwa utalii.




Sakho na ambaye anakipiga Crystal Palace kwa mkopo, naye yuko mapumzikoni na amechagua mbuga za wanyama za Tanzania kwa kazi yake hiyo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic