June 4, 2017


Nyota mbalimbali wamejitokeza kumuunga mkono kiungo Michael Carroll wa Man United Kwa kucheza mechi maalum katika Uwanja wa Old Trafford mjini Manchester, leo. 

Mechi Hiyo imeisha Kwa sare ya mabao 2-2 huku Carrick akisawazisha bao la Man United dhidi ya kikosi cha marafiki zake.

Mechi Hiyo maalum kuunga mkono foundation ya Carrick ikiwa pia ni sehemu ilikuwa na mvuto kutokana na nyota kama Michael Owen, John Terry, Jamie Carragher, Clarence Seedorf, Robbie Keane kuonyesha uwezo mkubwa wa kusukuma gozi la ng'ombe.  


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV