June 7, 2017


ANTHONY MARTIAL WA MAN UNITED NA MPENZI WAKE


Wachezaji mbalimbali wanautumia wakati huu kama sehemu ya kupumzika na familia zao, wapenzi, wake zao au watoto wao na hata jamaa na rafiki.

Wachezaji hao wamesambaa katika sehemu mbalimbali duniani wakijitahidi kupata mapumziko kabla ya kurejea tena kazini.

OZIL NA RAFIKI YAKE

EMRE CAN WA LIVERPOOL

GABRIEL PAULISTA WA ARSENAL 


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV