June 7, 2017Beki Marcelona wa Real Madrid ameamua kuongeza mchoro wa mwaka mmoja wa ziada.

Amechora mwaka 2017 chini ya 2016 akionyesha makombe ya Ligi ya Mabingwa Ulaya yanaongezeka.

Makombe matatu katika miaka minne, si kitu kidogo na beki huyo ameamua kubaki na kumbukumbu ya uhakika.
0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV