Kikosi cha Taifa Stars kimerejea nchini kikitokea Misri ambako kiliweka kambi maalum.
Stars chini ya Kocha Mkuu, Salum Mayanga inajiandaa kucheza na Lesotho katika mechi ya kuwania kufuzu michuano ya Afcon.
Mechi ya kwanza itachezwa Jumamosi ijayo jijini Dar es Salaam.
Kikosi kizima kimerejea leo kutokea Misri na sasa kitaendelea na maandalizi kikiwa Dar es Salaam hadi siku ya mechi.
0 COMMENTS:
Post a Comment