June 22, 2017

Arsenal imetangaza uzi wake mpya kwa ajili ya msimu wa 2017-18.

Tayari mashabiki wake sehemu mbalimbali England wameanza kujitokeza kwa wingi madukani kuzinunua.

Jezi za Arsenal ambao ni mabingwa wa Kombe la FA kama ilivyokuwa msimu mpya zinatengenezwa na kampuni ya Puma ambao ni sehemu ya wadhamini wa klabu hiyo.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV