July 9, 2017Simba imemsajili beki Salim Mbonde kutoka Mtibwa Sugar.


Mbonde amesaini Simba mkataba wa miaka miwili ili kuimarisha safu ya ulinzi.

Mbonde anatua Simba baada ya kuwa na taarifa kuwa beki Abdi Banda amejiunga na timu ya Afrika Kusini.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV