July 9, 2017


Wayne Rooney amerejea nyumbani Everton akiwa mchezaji huru.

Maana yake Watanzania watapata nafasi ya kumuona Rooney akiichezea Everton jijini Dar es Salaam.

Everton inakuja nchini keshokutwa kwa ajili ya mechi yake dhidi ya mabingwa wa SportPesa Super Cup Gor Mahia.


Rooney amerejea Everton baada ya miaka 13 ya kuitumikia Man United aliyojiunga nayo akiwa kwa kitita cha pauni million 26.5.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV