July 18, 2017


Joe Hart ametua West Ham akiwa amerejea Ligi Kuu England na kusema ana furaha kubwa kwa kuwa alikuwa akiipenda klabu hiyo.

Manchester City ilimpeleka Hart kwa mkopo katika klabu ya Torino nchini Italia.

Lakini sasa amerejea England na kujiunga na West Ham United kwa mkataba wa mkopo na mwishoni mwa msimu huu, West Ham itakuwa na nafasi ya kumsajili moja kwa moja kama itahitaji kufanya hivyo.




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic