July 15, 2017


Hatimaye Chelsea imemalizana na kiungo Tiemoue Bakayoko kutoka Monaco. Inaelezwa mabingwa hao wa England wamemwaga pauni milioni 40.

Bakayoko amemalizana na Chelsea kwa kusaini mkataba wa miaka mitano.

Kiungo huyo mshambulizi mwenye miaka 22, anatokea Monaco ambayo alifanya vizuri akiwa huko. Mkali huyo amekabidhiwa jezi namba 14.




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic