July 5, 2017

LEO klabu ya Yanga yenye makazi yake Kariakoo mitaa ya Jangwani na Tiwga, imemthibitisha rasmi Ibrahim Ajibu kuwa ni mmoja wa wachezaji wa timu hiyo watakaopambana kwenye Ligi Kuu ya Tanzania Bara na michezo ya kimataifa.

Ajibu ambaye hucheza katika nafasi ya mshambuliaji anakuwa mchezaji wa kwanza kujiunga na Yanga akitokea mikononi mwa watani wao Simba kwa msimu huu wa 2017/18.  Ajibu ataitumikia Yanga kwa miaka miwili kama mkataba wake unavyosema.
0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV