July 4, 2017


Jishindie Smart Phone kwa kuangalia kipindi cha Spoti Hausi kupitia Global TV Online kila siku ya Alhamisi saa 10 kamili jioni mpaka saa 11 kwa ku-comment chini ya kipindi cha kwenye video na kuweka namba yako ya simu kinapokuwa live TU. Hakikisha hukosi kipindi hiki na mtonye rafiki, ndugu au jirani yako asikose kuangalia kipindi hiki ili ajishindie Smart Phone yenye uwezo wa hali ya juu. Kama huja subscribe Global TV Online ingia Youtube na tafuta Global TV Online ikifunguka, bonyeza kitufe cha 'susbcribe' chekundu ukifanya hivyo utakuwa tayari umejiunga na Global TV Online kwa kupata matukio mbalimbali yanayojiri kila siku. Ongeza thamani ya maisha yako kila siku (ADD VALUE TO YOUR LIFE ) Subscribe hapa www.youtube.com/user/uwazi1

2 COMMENTS:

  1. Mm naomba niwe wa kwanza kushinda na washikaji zangu tunaingoja kwa hamu Alhamis SPOTI HAUSI bila kukosa mapemaaaaa 0766306349

    ReplyDelete
  2. Nipo hapa kwa ajili ya kusubiri kuchukua hiyo smartphone nimekua nikiwafuatilia tokea muanze kurusha live kupitia Global TV Online 0755392629.

    ReplyDelete

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV