July 18, 2017


Shomari Kapombe atalazimika kuyakosa mazoezi ya Simba kwa siku 14.

Hali hiyo inatokana na kuumia nyonga, jambo linalomlazimu kutoka nje ya kikosi cha Taifa Stars ambacho kinaondoka kwenda Rwanda katika mechi ya marudiano ya michuano ya Chan.

Kapombe ambaye ameumia katika mechi ya kwanza jijini Mwanza atarudishwa jijini Dar es Salaam kwa ajili ya matibabu.


Tayari kikosi cha Simba kikosi nchini Afrika Kusini kwa kambi inayoelezwa kuwa ya siku 20.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic