July 3, 2017
Kocha wa Yanga, George Lwandamina ametua nchini tayari kuanza kazi.

Lwandamina amesema baada ya siku kadhaa, Yanga wataanza maandalizi.

Hata hivyo alisisitiza anataka kukutana kwanza na uongozi na kujua nini kitafuatia kuhusiana na programu ambayo tayari ameiandaa.

Ujio wa Lwandamina unaondoa ile hofu kwamba, huenda kocha huyo raia wa Zambia, asingerejea.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV