July 3, 2017


Beki na nahodha wa muda mrefu wa Chelsea, John Terry ametua Aston Villa.

Terry amesaini mkataba wa mwaka mmoja na atakuwa akipokea pauni 80,000 kwa wiki.

Beki huyo mwenye umri wa miaka 36, atakuwa chini ya kocha Steve Bruce ambaye ni beki wa zamani wa kati wa Manchester United. 
0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV