July 31, 2017
Kesi inayowakabiri Rais wa TFF, Jamal Malinzi, Mwesigwa Selestine na Nsiande Isawafo imeahirishwa hadi Agosti 11, mwaka huu.

Leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kesi hiyo ilitajwa na kuahirishwa kwa kuwa 

upelelezi haujakamilika.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV