July 10, 2017


Mshambuliaji mpya wa Singida United, Danny Usengimana mwenye koti jekundu akiwa katika tuzo za mwisho wa msimu wa Ligi Kuu Rwanda.


Usengimana ndiye mfungaji bora msimu uliopita ikiwa ni mara ya pili  mfululizo. Hapa amekaa na Golikipa wa Rayon Sports na timu ya taifa ya Rwanda, Amavubi, Jean Luc Ndayishimiye.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV