July 31, 2017
Raphael Daud ambaye ametua Yanga akitokea Mbeya City ameanza mazoezi rasmi na kikosi hicho mjini Morogoro.

Pamoja na kuanza mazoezi, Aplha, mshambulizi Donald Ngoma wa Yanga ameanza mazoezi pia kujifua kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya.
0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV