July 9, 2017


Wayne Rooney ataichezea Everton mechi yake ya kwanza akiwa Tanzania, Alhamisi.

Kama atajumuishwa katika msafara wa kuja Tanzania unaondoka keshokutwa, Rooney atakuwa anaichezea Everton kwa mara ya kwanza wakati amerejea leo rasmi.

Everton inakuja nchini keshokutwa kwa ajili ya mechi yake dhidi ya mabingwa wa SportPesa Super Cup Gor Mahia.


Rooney amerejea Everton baada ya miaka 13 ya kuitumikia Man United aliyojiunga nayo akiwa kwa kitita cha pauni million 26.5.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV