July 9, 2017
Simba imefikia uamuzi wa kumtema Kocha Msaidizi, Jackson Mayanga.

Taarifa za ndani zinaeleza Simba tayari imeanza mazungumzo na kocha mwingine.

“Atakuwa kocha kutoka Burundi na kuna kiongozi alishaanza kuzungumza naye,” kilieleza chanzo cha habari.

Mayanja raia wa Uganda alijiunga na Simba akitokea Coastal Union ya Tanga na kuwa kocha mkuu wa muda.

Lakini baadaye Simba ilimtwaa Joseph Omog kutoka Cameroon na Mayanja akawa kocha msaidizi.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV