SINGIDA UNITED YAMTAMBULISHA BEKI WAKE MPYA MNYARWANDA Singida United, rasmi imemtambulisha beki wake mpya kutoka Rwanda. Michael Rusheshangonga rasmi amekabidhiwa jezi yake namba 22 mara tu baada ya kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA).
0 COMMENTS:
Post a Comment