August 5, 2017


Hatimaye Uanga wamekabishiwa jezi zao za msimu ujao na wadhamini wao SportPesa.

Yanga ilicharuka baada ya jezi zao kukabidhiwa na kampuni ya simu za mikononi ya Vodacom ambao ni wadhamini wa Ligi Kuu Bara.

Lakini leo, Yanga wamekabidhiwa jezi hizo na Abbas Tarimba, mmoja wa Wakurugenzi wa Sportpesa.
Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya klabu ya Yanga, Salum Mkemi ndiye aliyepokea jei hizo. 
0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV