HIVI NDIVYO NAMNA MLANDEGE ILIVYOING'ANG'ANIA SIMBA Simba imetoka sare ya bila kufungana katika mechi ya kirafiki dhidi ya Mlandege ya Zanzibar kwenye Uwanja wa Amaan. Angalia mambo yalivyokuwa.
Hawa Mlandege kumbe wagumu!! Duuh, kumbe Yanga wako sawa aisee. Maana wao waliwatungua 2:0
ReplyDelete