JESSE AONDOKA PSG NA KUJIUNGA NA STOKE CITY KWA MKOPO Mshambulizi wa zamani wa Real Madrid na PSG, Jese Rodriguez ametua Stoke City. Jesse amejiunga na Stoke City kwa mkopo akitokea PSG. Mshambulizi huyo mwenye “magivu” pia ni msanii wa muziki wa kizazi kipya kwa miondoko ya Kispanyola.
0 COMMENTS:
Post a Comment