August 8, 2017Gwiji la Arsenal, Sol Campbell alitoa zawadi kwa mashabiki mbalimbali waliojibu maswali.

Mashabiki walijibu maswali kadha kuhusiana na Campbell au klabu ya Arsenal.


Zawadi hizo kutoka kwa wenyeji wake kampuni ya Sportpesa Tanzania zilitolewa kwa mashabiki hao waliojitokeza kushuhudia mechi ya Ngao ya Jamii dhidi ya Chelsea ambayo Arsenal walishinda kwa penalti.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV