August 7, 2017


 

Bosi wa Real Madrid, Zinedine Zidane ameonekana bize katika mazoezi ya mwisho ya kikosi chake kabla hakijaivaa Man United nchini Macedonia, kesho.


Madrid itaivaa Man United katika mechi ya Uefa Super Cup ambayo huwakutanisha mabingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya na wale wa Europa League.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV