August 7, 2017


Manchester United wamefanya mazoezi ya mwisho nchini Macedonia kujiandaa na mechi ya UEFA Super Cup dhidi ya Mabingwa wa Ulaya Real Madrid. 

Man United ambao ni mabingwa wa Europa League na walifanya mazoezi laini ikiwa ni sehemu ya kupasha misuli.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV