August 9, 2017


Real Madrid imeitwanga Manchester United na kutetea Kombe lake la Ubingwa wa Uefa Super Cup.


Casemiro alianza kufunga katika dakika ya 24 na Isco akapigilia msumari wa pili dakika ya 52 na  ni Romelu Lukaku akafunga upande wa Man United dakika 10 baadaye.
















































0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic