August 8, 2017


Simba imeishinda Rayon Sports kwa bao 1-0 katika mechi nzuri ya kirafiki iliyokuwa maalum kwa ajili ya tamasha la Simba Day.
Tamasha hilo ambulo hufanyika kila Agosti 8 ya kila mwaka lilifana kwa mambo mbalimbali ikiwemo kutambulishwa kwa wachezaji wapya wa Simba.
Angalia picha za action wakati wa mchezo huo wa kuvutia, kwani mabingwa hao wa Rwanda walionyesha soka la kuvutia, Simba nao wakatawala mchezo hasa eneo la katikati.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV