August 7, 2017Mahakama Kuu Tanzania, imetupilia mbali ombi la Yusuf Manji kutaka apatiwe dhamana katika kesi yake inayomkabiri ya kuhatarisha usalama wa taifa.

Ombi hilo lilifunguliwa na mawakili wa Manji, lakini Mahakama Kuu imepitisha uamuzi wa kulitupitia mbali ombi na kumresha Manji katika Gererza la Keko.

Mawakili wanaomtetea, waliamua kufungua ombi hilo baada ya Manji kunyimwa dhamana katika Mahakama ya Kisutu katika kesi inayomkabiri.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV