IKIWA ni sehemu ya shamlashamla za Tamasha la Usalama Barabarani lililofanyika hapa katika Uwanja wa Taifa wa Uhuru Dar kumekuwa na burudani mbalimbali kutoka kwa wasanii pamoja mchezo wa mpira wa miguu ambapo wamechuana mabalozi wa usalama barabarani na wabunge.

Timu ya Mabalozi wa Usalama Barabarani.
Katika mchezo huo uliomalizika dakika 90 bila kufungana hivyo refa kaliamua kuepeleka mpira kwenye matuta ili apatikane mshindi.

Watazamaji.

Mtanange ukipigwa.

RC Makonda akisubili mpira.

Mchezo ukinoga.








0 COMMENTS:
Post a Comment