IKIWA ni sehemu ya shamlashamla za Tamasha la Usalama Barabarani
lililofanyika hapa katika Uwanja wa Taifa wa Uhuru Dar kumekuwa na
burudani mbalimbali kutoka kwa wasanii pamoja mchezo wa mpira wa miguu
ambapo wamechuana mabalozi wa usalama barabarani na wabunge.
0 COMMENTS:
Post a Comment