August 27, 2017



Wadau mbalimbali wametuma maoni yao katika Blog ya SALEHJEMBE wakipinga hatua ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuanza kusogeza mbele mechi za Ligi Kuu Bara.

Mechi zilizokuwa zichezwe wikiendi ijayo hasa Jumamosi na Jumapili, zimesogezwa hadi Jumatano.

Mfano mechi kati ya Kagera Sugar dhidi ya Ruvu Shooting iliyokuwa ichezwe Kaitaba, Jumamosi, sasa itachezwa Jumatano.


Mashabiki wengi wameitaka TFF kuwa makini huku wakiisisitiza hata kama ni kupisha tarehe za FIFA, inawezekana kufanya hivyo mapema kwa kuwa tarehe hizo kuwepo mapema.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic