August 28, 2017




Kiungo Haruna Niyonzima ameanza mazoezi na wenzake kujiandaa na michezo inayofuata ya Ligi Kuu Bara.

Niyonzima aliumia katika mechi ya kwanza ya ligi hiyo akiichezea Simba dhidi ya Ruvu Shooting.

Msemaji wa Simba, Haji Manara amethibitisha Niyonzima kuanza mazoezi.

Pamoja na Niyonzima, Manara amesema, John Bocco naye ameanza kujifua na wenzake kwa ajili ya maandalizi ya mechi hizo zijazo.


1 COMMENTS:

  1. Kulikoni mchezaji wa Simba mghana Nicholous Gyan?kapotelea wapi?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic