August 28, 2017



Kipa Said Mohamed ‘Nduda’ amepelekwa nchini India kwa ajili ya matibabu.


Msemaji wa Simba, Haji Manara amesema Nduda atakuwa nje kwa wiki nne ikiwa ni pamoja na kupata matibabu hayo nchini India.

"Aliumia wakati wa maandalizi ya mechi ya Yanga na sasa anakwenda kwa ajili ya matibabu," alisema.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic