August 28, 2017



Uongozi wa Yanga umewaomba wanachama na mashabiki kuendelea kujitokeza kwa wingi na kuiunga mkono timu yao.

Yanga ilipoteza pointi mbili katika mechi yake ya kwanza ya Ligi Kuu Bara baada ya kutoka sare ya bao 1-1 dhidi ya FC Lipuli ya Iringa ambayo imepanda daraja.

Msemaji wa Yanga, Dismas Ten amesema wanachama na mashabiki, wajue kuwa wana kikosi kizuri.


“Kama kuna makosa basi kuna nafasi ya kujirekebisha, kikosi chetu ni bora na wajitokeze kwa wingi kutuunga mkono,” alisema,

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic